,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, March 9, 2015




·
 
"Wanaume ni km Ndege wakiwa juu ya tawi huimba vizuri sana,lkn ni hatari sana kuwa na urafiki nao!.Maana wakiona tawi lingine jipya na zuri machoni mwao,huruka na kukuacha umpweke,,uwe mwangalifu wanapokufurahisha kwa maneno na ahadi zao usiendelee kupoteza muda wko kung'ang'ania mfupa uliomshinda fisi pengine hilo sio fungu lko,,Usiumie wala kulia kwn thaman ya machoz yko haifanani na thaman ya LESO unayojifutia machoz,,,Songa mbeleee na jua kuwa atowae n mungu,wa2mie wanawake wenzio ujumbe huu mzuuri...! Tuishi kwa malengo."

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi