Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 04, 2016
 |
Wi-Fi BURE MAENEO YA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa rais
nchini Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa kuweka huduma ya
mtandao wa Wi-Fi katika maeneo ya umma na yale ya burudani mjini Dar es
Salaam.
Utekelezaji wa mradi huo
wa kampuni ya mawasiliano nchini humo utapanua huduma za mawasiliano ili
kuweza kuwafikia watu wengi zaidi na hivyobasi kuimarisha uchumi.
''Tunawapongeza kwa kutekeleza mradi huu na tunatumai upandaji wa miti
katika maeneo tofauti mjini ikiwemo maeneo ya burudani, watu wataweza
kupata huduma ya mtandao'' ,alisema |
0 comments:
Post a Comment