Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 18, 2016
 |
Kampuni ya Simu za mkononi Tigo leo imekabidhi msaada wa madawati 135
yenye thamani YA shilingi milioni 22 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos
Makalla kwa lengo la kuunga Mkono agizo la Rais kuwa watoto wote wakae
katika madawati Akipokea msaada huo Mkuu wa Mkoa ameishukuru kampuni
ya Tigo kwa kuchangia madawati hii inaonyesha namna Tigo wanavyothamini
wateja wao na kurejesha kwa wateja wake sehemu YA faida kwa njia YA
kutatua tatizo la madawati na kuwasaidia watoto kukaa katika madawati. |
0 comments:
Post a Comment