Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 18, 2016
 |
Waliwahi kuwa marafiki wakubwa hasa kwenye siasa miaka ya zamani mpaka kufikia kuwa Rais na Waziri Mkuu wake, yaani Rais wa zamani JK na Waziri Mkuu wake Lowassa, walipokutana jana kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi sana na hasa hata baada ya Rais JK kuongoza kikao cha Kamati Kuu ambacho kilikata jina la Rafiki yake huyo wa karibu huko nyuma. |
0 comments:
Post a Comment