""""""""""TANZIA"""""""""""""
Ajari mbaya imetokea sasa hivi eneo la nyororo Iringa ambapo basi ya MAJINJA TOKA MBEYA~DAR imeangukiwa na lori la kontena na abiria wote wmepoteza maisha papo hapo
Ajari mbaya imetokea sasa hivi eneo la nyororo Iringa ambapo basi ya MAJINJA TOKA MBEYA~DAR imeangukiwa na lori la kontena na abiria wote wmepoteza maisha papo hapo
Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa
linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu
wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 20 wameripotiwa kufariki papo hapo mpaka muda huu baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena!

0 comments:
Post a Comment