Katika
mitandao mingine ya kijamii, picha hizo zimeleta maneno mengi yasiyofaa
na vijembe kwa mwanamitindo huyo akionekana kama anamchokoza Zari,
kiasi cha kumfanya Hamisa kufungukia suala hilo. Zari hata hivyo hakukaa
kimya baada ya tukio hilo, naye katika mtandao wake, akatoa maneno ya
kejeli, akibeza picha hizo na kudai mtu asipokutangaza hadharani kama
wewe ni mtu wake, ujue hauna lolote.
“Jamani Hamisa, wakati bado mwenzake anamuona katembea na mzazi mwenzake Diamond, bado tu anamchokonoa, hii siyo sawa kabisa,” alisema mmoja wa wachangiaji katika mtandao huo.
Gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Hamisa ili kuweza kujibu tuhuma hizo ambapo alisema Ivan, alikuwa ni mmoja wa washiriki katika tuzo hizo na walipiga picha kawaida tu, lakini anawashangaa watu wanachulia kivingine.
“Jamani mimi nafikiri kila mtu na uelewa wake, kuna tatizo gani mtu kupiga picha na mshindi mwenzako kwa sababu wao kundi lao la Money Gang lilishinda na mimi nikashinda tuzo yangu ya Uvaaji Bora wa Mwaka kwa mwanamke, lakini watu wanachukua vitu ndivyo sivyo mpaka wananichosha mimi,” alisema Hamisa.

0 comments:
Post a Comment