
Mkoa wa Mbeya Amos Makalla Amewataka watanzania kupenda kutumia bidhaa zinazotengenezwa na wajasiariamali na viwanda vya hapa nchini Kwakuwa zima ubora 

Hayo ameyasema Leo wakati wa ufunguzi wa maonyesho YA SIDO kwa wajasiriamali wadogo na kati ya mikoa YA nyanda za juu kusini

Aidha ameziomba taasisi za fedha kusaidia kutoa mikopo yenye riba rafiki kwa wajasirimali wadogo na Kati ili kuwongezea mitaji na kwa kufanya hivyo wataongeza uzalishaji, ubora wa bidhaa na ajira









0 comments:
Post a Comment