Posted by Williammalecela.com on Monday, September 19, 2016
 |
"Leo
tumefanya kikao na walimu wa shule za msingi Jijini Arusha,
tumesikiliza kero zao mbalimbali. Nimeelekeza fedha tulizo okoa kutoka
kwenye malipo yasio halali
kwa madiwani wa Jiji la Arusha zitumuke
kulipa madeni ya walimu wa shule za msingi na sekondari ambayo ni 154
Million. Nimetoa wiki mbili kuanzia leo zoezi hili liwe limekamilika!"
|
0 comments:
Post a Comment