STAA wa Muziki wa Singeli, Amani Hamisi ‘Man Fongo’ ambaye picha yake
akiwa amemkumbatia Snura Mushi imezua gumzo, amesema yeye na mkali huyo
wa Kibao cha Majanga ni marafi ki wanaoishi Kizungu, hivyo watu
wasishangae ikitokea siku akambusu sehemu yoyote.
“Snura ni dada yangu sana na mama yangu pia, ila undugu wetu ni wa Kizungu zaidi, usishangae siku nyingine kuniona nambusu sehemu yoyote
maana mama akipika huwa tunafunua, kama ilivyo kwa shemeji kwamba hainaga ushemeji, tunakulaga,” alisema. Kwa upande wake, Snura aliiambia Za Motomoto News; “Man Fongo ni mwanangu, ananiita mama na ile picha tulipiga tukiwa studio na aliamua tu
kunipakata, lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi wala nini.”

0 comments:
Post a Comment