Dada
wa Diamond ameamua kufunguka ya moyoni na kudai anampenda sana mume
wake Petit Man ambae walitengana kwa muda kutokana na kutokuelewa hapa
na pale lakini kwa sasa inaonekana wameweka mambo sawa...Ameandika haya
kwenye ukurasa wake
_esmaplatnumz
Baby dady mkimuona mwambieni mi
Nampenda tuu ukiniuliza hata sijui... kuna wakati unaweza kufichaficha
au kujionesha hupendi au ukajikaza usiseme unachojisikia kusema but mi
naona bora uwe muwazi ili roho yako Iwe na Amani... Jamani mi Nampenda
huyu kaka plz nyakunyaku kuweni makini huyu mi nahisi km kafika kigoma
mwisho wa reli...na natania msije nikomoa...hamchelewi...
0 comments:
Post a Comment