Mwanamuziki Esterina Sanga maarufu kwa jina la Lina ameamua naye kulipa kisasi kwa Wema
kwa kumchukua mpenzi wa Wema aitwaye Idrissa Sultani Linah kaamua kufanya hivyo kwa kuwa Wema siku za nyuma aliwahi kumchukua mpenzi wa Lina
Linah na Idrissa kwa sasa mambo moto moto wana pika na kupakua chungu kimoja
0 comments:
Post a Comment