,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, August 13, 2016

13561882_262179434155380_1891112826_n
Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf, ametangaza kuachana na muziki.

Ametangaza azma hiyo Ijumaa hii kwenye msikiti wa Taqwah jijini Dar es Salaam. Amedai kuwa kuanzia sasa atakuwa akimtumikia Mungu zaidi.
13597552_936659759773942_1110215059_n
Amesema ataongea na waandishi wa habari hivi karibuni kuhusiana na uamuzi wake na hatma ya kundi lake la Jahazi Modern Taarab.
Wimbo wa mwisho alioutoa Mzee Yusuf ulikuwa Hewallah aliomshirikisha Vanessa Mdee

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi