Stori: Andrew Carlos, Risasi Jumamosi
Video
ya aibu inayomuonesha msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu
‘Madam’ akicheza kihasara mbele ya mwanaume imevuja, Risasi Jumamosi
linayo kibindoni.
‘Klipu’
hiyo ambayo Wema anaonekana akikata mauno huku suruali aliyokuwa amevaa
ikimvuka na kuacha wazi sehemu ya makalio yake, ilivujishwa hivi
karibuni na mdau mmoja wa burudani ambaye hakupenda jina lake liandikwe
gazetini.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO LIVE
BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO LIVE
0 comments:
Post a Comment