Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 15, 2016
 |
|
MKAZI WA TABORA, SUZAN LUKINDO AKAMATA
MPUNGA WA VODACOM LEO
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati)akiongea kwa
njia ya simu na Suzan Lukindo,Mkazi wa
Tabora aliyeibuka mshindi shilingi Milioni 5/- katika droo ya wiki ya promosheni
ya ‘Kamata Mpunga’inayowawezesha
wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi
100.
Jumla ya washindi 16 wameibuka katika droo ya wiki ya kwanza.Ili mteja
aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda
namba 15544 na mteja atapata ujumbe
wa kujibu maswali,Kushoto ni Afisa msimamizi wa michezo ya kubahatisha
Tanzania,Abdallah Hamed na Meneja wa huduma za ziada,Mathew Kampambe.
|
 |
| Ofisa wa
masuala ya Usalama kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Neema Mgombelo(kushoto)Afisa
msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Abdallah Hamed na Meneja wa huduma
za ziada wa Vodacom Tanzania,Mathew Kampambe(kulia) wakimsikiliza Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati) akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya wiki ya promosheni ya”Kamata Mpunga”ambapo Suzani Lukindo,
mkazi wa Tabora,aliibuka mshindi wa wiki wa kitita cha shilingi Milioni 5/-
kupitia promosheni hiyo inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa
kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100.Jumla ya washindi 16 wameibuka katika droo
ya wiki ya kwanza.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa
kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja
kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544
na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali . |
0 comments:
Post a Comment