Posted by Williammalecela.com on Friday, June 24, 2016
 |
|
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakibeba
vyakula wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula katika viwanja
vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia
taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation,
walijumuika
na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula
mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.PICHA NA MPIGAPICHA WETU
|
 |
|
Meneja wa Ruzuku na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili
kushoto) akigawa vyakula kwa wanawake waislamu, wakati wa hafla ya
kutoa msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom
Tanzania Foundation,walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na
vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.PICHA NA MPIGAPICHA WETU
|
 |
|
Mkazi wa Bagamoyo
mjini,Mwanaidi Mwela (wapili kulia)akiweka mfuko wa maharage kwenye kapu lake
baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa
Vodacom, wakati wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwenye
kaya 100 za mjini humo uliofanywa na
wafanyakazi hao kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom Tanzania Foundation,
walipojumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake hapo jana.
|
 |
|
Mkuu wa Vodacom Tanzania Foundation,
Renatus Rwehikiza (wa pili kushoto) na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na
Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (wa tatu kushoto),
wakigawa vyakula kwa Waislamu wa Bagamoyo, wakati wa hafla ya kutoa
msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya Vodacom
Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji
vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani.
|
 |
|
Mkazi wa Bagamoyo, Mohamed
Ammer Maki (kulia) akifurahia msaada wa vyakula, wakati wa hafla ya kutoa
msaada wa vyakula katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya jamii ya
Vodacom Tanzania Foundation, walijumuika na Waislamu wa Bagamoyo na
vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
|
0 comments:
Post a Comment