,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, June 15, 2016


"ASALAM ALEKHUM Ndg na jamaa wa Marehemu SWETU FUNDIKIRA
sisi kwa mshituko mkubwa tumetaarifiwa na vyombo Husika na kukabidhiwa dhamana ya kuwapata mshahidi wa upande wa Mar. Kuwakabidhi summons ktk mahakama kuu Kuwa kesi ile Inarudiwa hapo kesho sababu ya kurudiwa upya tutazijua hapo kesho,kwa hiyo basi NAOMBENI kwa niaba ya ukoo wa FUNDIKIRA mlioguswa na msiba huu mzito tumetoneshwa kidonda ndugu kwa ncha ya sindano naomba tafadhali tujitokezeni kwa wingi tukiwa tumevalia mavazi MEUSI ili kuashiria bado tupo na tutaendelea kuwepo na MAJONZI milele mpka HAKI ITENDEKE.. Kesho kesi itaanza saa Tatu hasubuhi MAHAKAMA KUU MJINI.naomba tufike mahakamani mapema zaidi KUWAHI nafasi za ndani kunapo unguruma kesi hii Asanteni sana RAMADHANI KAREEM"

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi