Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 15, 2016
 |
Hivi karibuni Blogu hii iliripoti mahaba mazito baina ya Le Mutuz Nation na Mpenzi wake mpya Super Bilionea
mwenye utajiri wa ajabu Bilionea Grace wa Goba nje kidogo ya jiji la Dar, leo tena Le Mutuz aliposti picha akiwa na Bilionea huyo zenye maelezo ya kuwa ofisini kwa Le Mutuz. Mara ya mwisho picha zao zilionyesha wakiwa Goba nyumbani kwa Super Bilionea huyo Grace na zingine wakiwa moja kati ya Maduka ya Nguo ya Bilionea huyo Grace. Le Mutuz Nation ama Sukari ya Warembo kama anavyojulikana sana hapa mjini Dar kutokana na uwezo wake wa kutoka na Wabebezzz wakali wakali sana amekuwa akionekana kunasa kwa huyu Mdada Tajiri wa ajabu kwa karibu Mwezi mmoja sasa. Juhudi za kutaka kuongea nao wote wawili zilipiga mwamba kwani hawakupokea simu zao. |
0 comments:
Post a Comment