Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 27, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala atembelea kituo cha Forodha cha Kasumulu mpaka wa Tanzania na Malawi wilayani Kyela Ameridhishwa na ukusanyaji mapato na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Malawi Ameagiza Kamati ya Ulinzi na usalama kuendeleza mikutano ya ujirani mwema na wilaya ya Karonga nchini Malawi
Aidha ameagiza vyombo vya Ulinzi na usalama kituoni hapo kudhibiti
upitishaji na uingiaji wahamiaji haramu, madawa ya kulevya , silaha na
nyara za serikali Amewataka watendaji wa kituo hicho kudhibiti ukwepaji kodi na magendo |
0 comments:
Post a Comment