"Makontena 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.
Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa.
Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi"
Source StarTv

Hapa dipo nasema Kikwete akustahili kabisa kuwa rais wa nchi hii, the guy was extremely useless for utawala. Fikiria, mtu unaleta pipi analipishwa kodi ila magari yanatoka tu bila kulipia.
ReplyDelete