Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 29, 2015
 |
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa my Super Friend Mh. Bonnah Kaluwa Mbunge wa CCM Segerea, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bonnah Trust Funds taasisi inayowasomesha wasichana wadogo wenye akili kubwazz lakini wazazi wao hawana uwezo wa kuwasomesha Sekondari. |
Le Mutuz, huyu dada yuko single? Kama yupo single tafadhali naomba contacts zake through my e-mail address. Natanguliza shukrani.
ReplyDelete