Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.
Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZIYule mgonjwa aliyeibua
ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe
Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge
(pichani)amekutwa akiwa amelala sakafuni wodini.
0 comments:
Post a Comment