"VITA "YA USPIKA YAANZA KUNOGA CCM"
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,
Wakili Philip Marmo(kushoto),Spika wa Bunge la Jamhuri na Bunge la Katiba Mstaafu,Wakili Samwel Sitta aka Mzee wa Standard and Speed", aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Karagwe wakili Gosbert Blandes,aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Dk.Emmanuel Nchimbi,aliyekuwa mgombea urais CCM, Dk.Kalokola leo mchana wamefungua dimba kuchukua fomu za kugombea nafasi ya uspika (CCM),Dar es Salaam.
Like Comment

0 comments:
Post a Comment