,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, July 25, 2015

Naomba kuchukuwa fursa hii kumpongeza @wemasepetu kwa uthubutu wake wa kutia nia katika harakati za kutaka kuwatumikia wananchi wa Singida lakini kwakuwa katika mashindano kuna kushinda na kushindwa kuwa nafas ya nne sio mbaya katika siasa jipange upya miaka mitano ijayo si mbali panapo uhai naamini huwezi rudi nyuma na usikatishwe tamaa kwa matokeo ya mwaka huu unarudi Dar na kasi ya hatari

1. AYSHAROSE MATTEMBE KURA 311
2. MARTHA MLATA KURA 235
3. DIANA CHILOLO KURA 182
4. WEMA SEPETU KURA 90

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi