Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 25, 2015
KutokaKenya Katika mkutano na wanahabari katika ikulu ya Nairobi rais Uhuru Kenyatta amekana kwa kinywa chake kuwa serikali yake haitakubaliana katu na shinikizo la rais Obama kwa Kenya kuwatambua wapenzi wa jinsia moja.
0 comments:
Post a Comment