,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, July 28, 2015

 Mkutano huu ulihudhuriwa  na nchi 20.na mabalozi.marais.wabunge. viongozi wa dini mbali mbali. Dr. Salem Abdulla rais wa Global Peace Foundation Tanzania leo asubuhi baada ya kukifunga rasmi kikao cha semina kilichofanyika Zanzibar kilichowakutanisha Marais wa sasa na wa zamani wa Nchi kadhaa za KiAfrika na pia Viongozi wa Dini.
 
      semina ilihudhuriwa kwa muda mchache na mgombea Urais mteule wa CCM Dr. Magufuli ambaye alipitia hapo kumuona rafiki yake wa karibu sana Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Bw. Raila Odinga

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi