Ziara
yangu ktk vituo vya kujiandikisha imekuwa na mafanikio makubwa.
Nawapongeza sana wananchi wote wanaoendelea kujitokeza ili wapate sifa
za kupiga kura.
Pili changamoto nyingi tumezipatia majibu na kubwa mbili naendelea kuzitafutia majibu.
1) kuongeza machine za BVR.
2) kuongeza muda wa kuandikisha
Ktk changamoto hizi kubwa mbili. Nimepeleka kwa wakubwa zangu na matumaini yangu tutapata majibu hivi karibuni. Mfano Mtu anafika kituoni saa 10 arufajiri kusubili mtu wa Tume afungue saa mbili asbh. Jambo hili tunalitazama upya ili vituo vianze kufanya kazi kuanzia saa 12 asbh au saa 1 asbh mpaka saa 2 Usk. Jambo hili litatowa fursa kwa wanao amka mapema na imani yangu watu wengi wataandikishwa.
Changamoto za uvivu kwa watumishi, lugha mbaya kwa wananch, utaratibu wa namba na mambo mengine yote tumeyatolea majibu na ninaendelea na ziara yangu ktk vituo vingine.
Ombi langu kwenu watanzania tusikubali kukata tamaa kujiandikisha kwani kura yako imebeba hatima ya taifa lako na kizazi chako.

0 comments:
Post a Comment