Headlines
baada ya headlines kuhusu siasa Tanzania zina uzito mpya kila siku…
Imeandikwa sana Magazetini kuhusu Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai
Lowassa kuhama CCM, kilichoteka headlines July 2015 kimeongezea uzito
kwenye ishu hiyo.
Viongozi wa Vyama vya UKAWA, Emmanuel Makaidi,
Prof. Lipumba, Freeman Mbowe na James Mbatia wamekutana Makao Makuu ya
CUF Buguruni Dar na kutoa majibu kuhusu kumpokea Edward Lowassa.
0 comments:
Post a Comment