Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.Shinikizo
dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka
akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu
yake ya ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya
chama hicho. Habari za ndani ya vikao vya kujadili hatua za kuchukuliwa
na Lowassa baada ya jina lake kukatwa kwenye mchakato wa kugombea urais
kupitia CCM, zinasema kuwa wandani wake wanaamini kuwa hana atakachopata
kama ataendelea kubaki kwenye chama hicho tawala.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment