Kwa
mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii
wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana
mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama
mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado
wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado
anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.
Mpaka
hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana kivyovyote.
Hupendi hawako pamoja? Basi support yule unayempenda au kama unawapenda
wote wawili endelea kuwasapoti sio kosa lako hawako pamoja! Ni kwa faida
yao nzuri tu yenye nia njema. Heshimu mawazo yao...
0 comments:
Post a Comment