Dear
Wema Sepetu tunajua kuwa wewe ni mrembo ambaye umejitahidi kudumu na
ku-maintain jina lako kwa muda mrefu tangu unyakue taji la miss Tanzania
2006.
Ukweli tumeona jitihada zako mbalimbali za kikazi umefanya
vitu vingi sana vya kimaendeleo ikiwa ni pamoja na kutoa, muvi zako,
kuandaa Tv program nkTukiachana na hayo Wema wewe ni msanii wa kike
ambaye umebarikiwa na Mungu kwa nyota ya kupendwa ndio maana hadi sasa
hivi tukiangalia list ya wanaume ambao waliwahi kukusumbua sumbua na
kutaka penzi lako ni wengi, though kwamba kuna wengine walifanikiwa
kabisa kuonja penzi lako na hatimaye kulitosa.
0 comments:
Post a Comment