,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, May 18, 2015

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije
badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi namuita Jackson”-Shilole ameeleza.

Hili ni jambo jema,kila la kheri Shilole na Mziwanda kwenye maisha yanu ya mapenzi

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi