MAHABA MAZITO NA LE MBEBEZ.
Msanii na muongozaji filamu Vicent Ray Kigosi amewapacha wapambe wote wa penzi lake na le mbebez Chuchu Hans kuwa wasihukumu chaguo lake bila kujua sababu za yeye kudata na mlimbwende huyo mwenye watoto wawili.
Chuchu Hans ni mke halali wa mtangazaji Frank Mtao anayeishi ughaibuni Australia.Sifa kadhaa za le mtindiiz huyo amewahi kua miss jiji Tanga mwaka 2005 na miss Tanzania talent 2005.


0 comments:
Post a Comment