"Kuna mjinga mmoja anapenda sana kunichambachamba bila sababu nzuri! anasema maziwa yangu kandambili ๐๐
ni sawa tena sio kandambili tu ni ndala za umoja- mama nimenyonyesha
mwaka na miezi 7 halafu mm sio mtoto naelekea miaka 32 sasa! sasa
unataka yasimame mpaka lini ???
Basi itakua maajabu maana ntakua sikui! Halafu mnapenda kuniambia mm mzee kwani kuna tatizo ? Uzee nao ni step za kukua jamani mbona wajinga nyie ! Ina maana wazee wa nyumbani kwenu huwa heshimu ? Mbona wazee ni watu muhimu sana ktk jamii yetu? Ebena eee tafuta style nyingine hii sio zaidi nakuona mshamba tu au mjinga flan amazing - kama unatafuta Kiki kuwa mbunifu kidogo- basi .... Jua tu nafurahia sana ukuaji wangu kila step na kianza tu kuota mvi sitaweka rangi nataka kujiona kila step ya umri wangu na mabadiliko yangu ya mwili tena nasubiri kwa furaha zote na kuna wkt najiona nikizeeka ntakuaje- najipenda sana na nina uwezo wa kuweka maziwa yalio simama lkn najiona mimi ni zaidi ya maziwa ๐๐๐ maziwa sio issue sana kuna wkt yalisimama na sasa yameangu na mambo yote muhimu yanaendelea - mm sio mwanamke wa hivyo unavyozani ! Maziwa yangu nayapenda tena naringa maana hayakulalishwa bure yame nyonyesha na yameleta matunda maana wataalamu wanasema watoto walionyonyeshwa wanakua very bright and mtoto wangu yuko bright ! Sikukwepa kunyonyesha kama wanawake wengi wa kisasa wanavyokwepa kwa ajili ya kuogopa maziwa kulala! Hapana na vingi vya kuonyesha zaidi ya maziwa! Pu...bavu mkubwa we !!!!!!!"
Basi itakua maajabu maana ntakua sikui! Halafu mnapenda kuniambia mm mzee kwani kuna tatizo ? Uzee nao ni step za kukua jamani mbona wajinga nyie ! Ina maana wazee wa nyumbani kwenu huwa heshimu ? Mbona wazee ni watu muhimu sana ktk jamii yetu? Ebena eee tafuta style nyingine hii sio zaidi nakuona mshamba tu au mjinga flan amazing - kama unatafuta Kiki kuwa mbunifu kidogo- basi .... Jua tu nafurahia sana ukuaji wangu kila step na kianza tu kuota mvi sitaweka rangi nataka kujiona kila step ya umri wangu na mabadiliko yangu ya mwili tena nasubiri kwa furaha zote na kuna wkt najiona nikizeeka ntakuaje- najipenda sana na nina uwezo wa kuweka maziwa yalio simama lkn najiona mimi ni zaidi ya maziwa ๐๐๐ maziwa sio issue sana kuna wkt yalisimama na sasa yameangu na mambo yote muhimu yanaendelea - mm sio mwanamke wa hivyo unavyozani ! Maziwa yangu nayapenda tena naringa maana hayakulalishwa bure yame nyonyesha na yameleta matunda maana wataalamu wanasema watoto walionyonyeshwa wanakua very bright and mtoto wangu yuko bright ! Sikukwepa kunyonyesha kama wanawake wengi wa kisasa wanavyokwepa kwa ajili ya kuogopa maziwa kulala! Hapana na vingi vya kuonyesha zaidi ya maziwa! Pu...bavu mkubwa we !!!!!!!"
- Juma Chillemba, Faiza Ally, Janicefarry Mwakapala and 102 others like this.
- Natasha Emily Kasanda How are you Faiza Ally
- Andrew Uiso Hachananao hao wanakuonea donge wewe nimkali vibaya mno faiza much respect to you
- Masoud Mohamed Safi sana uwo ndio uwanamke upo juu mrembo wa ukweli
- Lizzy Lisious Faiza Ally huyo mtaje bana na lipicha lake tulione mbona mama ake amtukan kwan yake sio ndala pia ni ushamba kumtukana mtu bila sababu
- Arafa Mohamed Hahahahh upo juu mrembo kwan yakilala kuna tatizo huyo anaekuambia maziwa yako yamelala atuoneshe yake yaliosimama basi๐๐
- Irene Mpanju Nakupenda bure my dada.
- Jesca Zakayo hawajui utu uzima dawa
- Missy Mapoz Sasa si umlete hapa uwanjani nihangaike nae Faiza Ally unamwogopa nn mlete hapa akuje hapa
- Stamily Kadrick Zombe Achana nae nyalubanga huyooo
- Rahima A Kipozi I LOVE YOU For Being Real!!Yaani WeWe Upo Real Hadi Nafurahi Kuona Unavo Jibu Wajinga!Big Up Mdogo Wangu,keep It 100%....Pamoja!@faiza Ally
- Filidolin Alex Kweli Leo umechafukwa mama salsha! Usipate hasira na wajinga! Mtoto wanamuona daily ktk profile tena binti mkubwa! Wanashangaa maziwa ! Vilaza hao wapotezee bhana!
- Hassan Juma Nice mrembo
- Missy Mapoz Faiza Ally mlete hapa
- Faiza Ally Pamoja sis Rahima A Kipozi
- Ramso Cholobi Nakukubali sn Faiza Ally
- Mcrose Mbaga Wanakwepa Kunyonyesha Au H.I.V Mwilin Hahaha
- Mumy Allan F Kabaka Hahahaha wanaotaka yasimame wanakunya pembeni hao hongera Faiza Ally
- G-Solo Kamakawa Dada kweli umevurugwa, dah! Sasa ungekuwa mwana hip hop hiyo si album kabisa!
- Faiza Ally Chukua mistari hiyo kaka G-Solo-Kamakawa nakumbuka geto lako mwenyewe kweli Wewe unapenda hip hop
- G-Solo Kamakawa Ha ha haaaaaaa
- Amina Mzava Waambie mama sasha mwanamke maziwa matako ya nini hata wanaume wanayo.
- Aggrey J Nyakiha lakini nakosa majibu kusikia au kuona mwanamke akimtusi mwana mke mwenzake juu ya maumbile ingali nayeye yuko hivyo au ana elekea kuwa hivyo,naona wengi wao hawakukaa na mababu zao na wakajifunza mithari,nahau,misemo,pingine hata hafithi na vitenda wi...See More
- Nanah Msangi Boya hilo tupa kuleee,,,maisha yamemshinda anatafuta sababu tuu,,,umseme vibaya akashtaki alipwe,,,pyeeeeeeee,,,ameula wa chuyaaa,,wakuache@@Faiza ufanye yako.
- Angel Michael Mjinga gani uyo asiye jielewa mshamba uyo ungemleta apa ale kichambo mshamba kweli uyo ajitambui
- Samweli Njama Huyo analake jambo mjinga mpuzie tu.
- Prince Ramah Wapotezee hao walugaluga tuu fanya mishe zako mjini kutafuta mkwanja si kubishana na mapunguani.
- Ally Mgangawe Huyo mtu hana akili anadhani wewe mdoli(sanamu) mana ndio halibadiliki toka litoke kiwandani.We ni mrembo na kila mwanaadamu atapita kila hatuwa.Kikubwa kujipenda.Big up Fai
- Monica Mwaisaka I love you coz you're real....
- Massy Van Kilu anataka ukachome sindano yasimame.pengine ye anaya boost kwa sidiria kiasi kwamba akilala ucku kucha anajikuna kwa shughuli ya kutwa nzima ya kuya boost ili aonekane kwa mikware kuwa yuko sawa matokeo yake hadumu kwenye mahusiano coz muonekano wake wa nje ni fake.
- Kebu Mtanza Pole mdada
- Lillie Gosberth K Na mie namuongezea mshenzi kabisa
- Suzana Anael Pumbavu zake
- Rosset Godfrey Alaaniwe mtu anayemchambua mwanamke hasa kwenye maumbile kama maziwa nk. Kwa kufanya hivyo inamaanisha wanawake wote ambao ni mama na wamenyonyesha ni wajinga akiwepo na mama yake. Huyo hajielewi wala hajitambui na ajue kufikia hapo ni kwamba alinyonyeshwa kwa hyo afute kauli zake kuita maziwa ya wanawake malapa
- Mariam Sosovele Namm namwongezea nyoko zake ndruukii
- Mohamed Ikumbanda mpe mpe huyo vipande vyake akimeza akitema ni shauri zake.
- Khamis Salim Mama wajinga aoo laki mama punguza ukali wa maneno wasaame ao awajui walisemalo
- Zahra Ahmed Hana haya uyoo achana nae maneno ya mkosaji hayo
- Trim Saleem nimependa hilo jibu lako Faiza Ally
- Seiph Mtanga Dada msamehe Huyo kenge
- Hamida Sato yaani umeongea maneno matamu sana
- Ambokile Ashe Engai mhhhhh,,hapo sasa,,maybe Faiza Ally yatakuwa maneno yake ya mkosaji huyo...maybe kanyimwa nini
- Saida Sedy Yeye maziwa yaliosimama ana nn achana nae maneno ya mkosajiFaiza Ally
- Benny Innocent Potezea na msamehe
- Fred Chuhila Ukopoa2mwaya
- Salehe Mugabe The fool,will always remain afool. Wama keep going on my friend.
- Mary Marren Faiza weka jina la huyo mwanaizaya hapa asiye na haiba ya kike tumtoe kitchen party bila kanga
- Mackalah Hassan huyo mweu achana nae katumwa akutazame
- Mbande Kinyo yaani sister kwanza unawajibu wa nini hao mapunga? tupa kule,upo poa xana tu
- Johnson Matembo Mtanzania Mzalendo nakusifu kwa kunyonyesha mda mrefu namna hiyo maana hata mke wangu nilimwambia mwanangu atanyonya miaka miwil na kweli mama Johbernson kanyonyesha miaka miwil na miezi nne na the son lipo so bright aiseee maana hata mie nashangaaaa mwenyeweee duh na ba...See More
- Agnes Marandu achana nae hyo mpumbavu lbda yy ni tasa hajui raha ya mtto mm mtt wngu nimemnyonyesha miaka2 na miezi miwili ni bonge anafya nzuri mpk wana mwita jb.maziwa kilala dili yy ya kwake yamecmama amepata nn mwana izaya hyo
- Lizy Sylvester Watu bana wanamambo
- Neddey Love Kweli tupuuu
- Yusuph Junior ha ha ha..,
- Babu Wambura Faiza Ally naomba nikuletee kiboko uchape hilo jinga linalotoa maneno machaufu kama kinyesi cha segerea maana hayo maneno naona kama hayamtoshi kabisaaaaa chapaaaaa bakora jijnga jingo wote humu nadni
- Khalid Balleth DONT ARGUE WITH A FOOL......
UTAPOTEZA MUDA WAKO BUREEEEE.... - Lawrence Mvungi Huyo anaham yakuchomekwa utambi..so wewe songa mbele
- Anither Assenga Uzee sio Tija, kila kitu uja kwa wakati wake. .. Km yy under18 amshukuru sir god: kaongea utumbo mtupu yan mambo aliyoyaongea yako nje kabisa: ht hayamuhusu:
- Betty Wa Ukweli Heeeee mjinga mmojahuyoo anakuonea anakuonea wivu tu na ningemjua angejuta. Hafai kwa hewa wala Giza huyo kama dume alizaliwa na dume ndio maana. Amtukane mamayake aliemzaa pumbavu
- Suzie Sussy Suzzane teh teh teeeeeeeeh!!!!!!!!
- Catherine Range Umeongea maneno ya maana na yenye busara sana kama ni muelewa atakuwa ameshaelewa , hongera kwa ujumbe mzuri kwa kwa wanawake wote@ Faiza Ally
- Janicefarry Mwakapala Wakuwache bhana...wawaulize mama zao km bado yamesimama mfyuui
- Msabila Miraji Muulize mama ake anayo yakoje mamaaaaake

































































0 comments:
Post a Comment