Aliyekuwa meneja wa msanii Dbanj na producer wake aitwae Donjazz sasa ameonekana kujikita zaidi kibiashara na mpaka kufikia leo hii amefungua salon zisizo pungua 10 za kisasa katika mji wa logos pamoja na hivyo donjazz ndiye aliye watoa wasanii kama tiwa savage kwa nyimbo yake ya Eminando ni mwanzo mzuri kwa mtu mkubwa Donjazz.
Tuesday, May 26, 2015

Categories: udaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment