,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, May 25, 2015

Meneja wa msanii madam Wema Sepetu na mwanamitindo Martini Kadinda siku ya ugawaji tuzo za watu alijikuta ameduwaa akithaminisha maumbile ya boss wake wakati madam akitoa neno la shukrani kwa waudhuliaji wa tuzo hizo na mashabiki
waliompigia kura.Kaka meneja alionekana kua mbali kushangaa uamaizing wa muigizaji huyo pendwa wa kike.Martin Kadinda alipost kwenye page yake akisema najikuta nikifurahi kila nikiangalia picha hii nakuita umbo la madam ni Bujumbura.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi