Shukran
sana kwa WOTE mlioweza kusupport mpaka siku hii ya leo filamu ya
KIGODORO ikaweza kuibuka kama FILAMU BORA kwa mwaka 2014 kupitia TUZO ZA
WATU... ni ngumu kutaja mmoja mmoja ila kuna mtu nikimsahau nitakuwa
mchoyo wa fadhila... my beautiful FAN marykimodo juhudi zako zimezaa
matunda.. nakupenda sana...na WOOOTE walioweza kuchukua muda wao kunipigia kura.. NATHAMINI SANA SANA!! Huu ni ushindi wetu SOTE!!! Na zaidi imenipa changamoto ya kutengeneza kazi nzuri zaidi!! ASANTENI SANA SANA!!


0 comments:
Post a Comment