Posted by Williammalecela.com on Monday, April 13, 2015
 |
JK KATIKATI YA MAASKOFU JANA JUMAPILI APRIL 12 SHINYANGA
"'eh nchi yetu hii haina dini....mkiona tunaliamua jambo kama CCM ama
kama serikali mjue tumeliamua kwa haki kabisa,,,nyie viongozi wa dini
wasameheni wale wengine wanaowatusi ,,,
nyie ndio mnaotufundisha kuwa tusamehe saba mara sabini,
,,na mshukuru sana baba Kardinal Pengo kwa kusamehe...
anafundisha pakubwa sana hasa sisi tulio na nafasi kubwa hizi
serikalini katika hilo...kwa hiyo jambo tulilo liamua baada ya
kulifanyia uchunguzi wakina tutalitetea tu atakama baadhi ya watu
litawakera,,,eh,,,serikali tunatambua sana umuhimu wenu viongozi wa dini
katika kutuombea na mchango wenu katika jamii ...
na ndio mana
tunasema kama kunamambo muhimu ambayo zipo baadhi ya sheria zinatatiza
ama hazitambui ni wajibu wetu kuwasaidia katika hilo madhali zinafaida
na jamii husika na wala kwa kufanya hilo hatuwezi kuwa wadini hata
kidogo,,,oneni mimi mwuislamu leo nipo katikati yenu TUNAJENGA NCHI
YETU..."
|
0 comments:
Post a Comment