Posted by Williammalecela.com on Monday, April 13, 2015
Taarifa zilizotufikia kutokea Mkoani Dodoma zinasema kuwa kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.
0 comments:
Post a Comment