,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, April 26, 2015


Good Good NEWS.. YES, nimepita kwenye ukurasa wa H Baba Instagram, amepost picha ikiwaonesha wakiwa na mtoto wao mchanga halafu kaandika hivi
>>>”Uyu mimtoto wapili mke wangu anajifungua nashuhudia MWANZO wa uchungu mpaka kujifungua kwake #Kiukweli heshima kubwa kwa mama Tanzaniteone ulijitahidi sana nakupa #HongeraKwakweli wewe nishujaa nanimfano wakuigwa Kwakweli kunamuda Nilikuwa nashindwa kavumilia natamani nitoke nje ila NASEMA hapana mpaka nishuhudie #mwisho wake!!!! ASANTE SANA“@h_baba123





H Baba ana mapenzi na Afrika yake.. mtoto huyu aliyezaliwa tayari kapewa jina la Africa.. wa kwanza anaitwa Tanzanite.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi