Posted by Williammalecela.com on Monday, March 09, 2015
Mama
mzaa chema wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’,
Mariam Haya ni madai mazito! Mama mzaa chema wa staa wa sinema za
Kibongo, Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa
kampuni binafsi. Kwa mujibu wa shuhuda huyo,
tukio hilo lililovuta hisia
za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya
mchana Ijumaa iliyopita.Kabla ya kushusha stori kamili, Ijumaa Wikienda
lilimhoji shuhuda huyo kama anamjua vizuri mama Wema ambapo
alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa
wakisikika kwenye simu.
0 comments:
Post a Comment