Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa chombo chenye dawa aliposhiriki kupulizia dawa za kuua wadudu katika mradi wa shamba la zabibu eneo la Chinangali II, Wilaya ya Chamwino leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishiriki kupulizia dawa ya kuua wadudu katika mradi wa shamba la zabibu wa Chinangali II, wilayani Chamwino, mkoani Dodoma leo.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Farida Mgomi, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kupitia Vijana, Deo Ndejembi wakishiriki kupulizia dawa za kuu wadudu katika shamba la zabibu la Chinangali II, wilayani Chamwino, mkoani Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtera,Mh.Livingstone Lusinde ndani ya wilaya ya Chamwino mapema leo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtera,Mh.Livingstone Lusinde ndani ya wilaya ya Chamwino mapema leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiweka jiwe la msingi Ofisi ya CCM Wilaya.
Ndugu Kinana akipanda mti mbele ya Ofisi ya Wilaya ya Chamwino inayojengwa.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana akiingia ukumbini kuendesha mkutano wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Chamwino
Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana akizungumza katika mkutano maalum wa jimbo la Chilonwa,wilaya ya Chamwino leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akishiriki kuchimba shimo la choo cha Shule Mpya ya Msingi ya Kikwete, eneo la Chamwino Ikulu, Jimbo la Chilonwa wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma leo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi-Taifa Nnape Nnauye akimpogeza mmoja wa watoto kundi la Nyota Njema aliyekuwa akipiga ngoma yenye asili ya kigogo kwa ustadi.
Nyota njema Kikundi cha ngoma za asli ya kabila la Wagogo linaloshirikisha watoto wanaopiga kwa ustadi ngoma kiktumbuiza baada ya Kinana kuwasili kushiriki ujenzi wa Shule ya Msingi ya Msanga B, wilayani Chamwino.Katikati ni mtoto Jamima Juma mwenye umri wa miaka mitatu
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Nyota njema Kikundi cha ngoma za asli ya kabila la Wagogo linaloshirikisha watoto wanaopiga kwa ustadi ngoma kiktumbuiza baada ya Kinana kuwasili kushiriki ujenzi wa Shule ya Msingi ya Msanga B, wilayani Chamwino.Katikati ni mtoto Jamima Juma mwenye umri wa miaka mitatu
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama kikundi cha ngoma za asili ya kabila la Kigogo linalowashirikisha watoto kiitwacho Nyota Njema,alipokwenda kushiriki ujenzi wa shule ya msingi ya Msanga B,Wilayani Chamwino.
Sehemu ya jengo la Zahanati ya kijiji cha Mahampha katika kata ya Chilonwa,Wilayani Chamwino,ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alishiriki ujenzi wa zahanati hiyo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiungana na vikundi vya ngoma kupiga ngoma alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Majereko, wilayani Chamwino leo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM,akihutubia katika mkutano huo, ambapo alisema CCM ni chama pekee nchini kinachowajali wanawake kwa kuwapatia nafasi nyingi za uongozi. Leo ni maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa mkoani Mororo na mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete.
0 comments:
Post a Comment