Moja ya bango lililo kamilika maeneo ya kijitonyama katika muonekano wake kuelekea kwenye kile kauli mbiu ya AccessBank Wakala katika kila mitaa jijini.
Marketing Officer AccessBank Mr muganyizi akikagua uimara wa bango
Baada ya ukaguzi mr Muganyizi alionekana katika furaha kutokana na kile alichosema nikatika malengo ya Bank yake kufikia viwango vya juu wameamua kuleta huduma zao karibu na wananchi wa tanzania ili kuwa wezesha kupata na kujua nini kinaendelea kuhusu AccesBank pamoja na offer zao zakibank wanazokuwa wakizitoa.
0 comments:
Post a Comment