Q:
mlikutana wapi mara ya kwanza mpk mkaanzisha love? . NUH: Shishi
alikuja studio moja hivi ambapo mimi nilikuwa nafanya kazi zangu .
SHISHI: kwa mara ya kwanza nuh tulikutana studio tukasalimiana na tangu
hapo tukawa wapenzi
. Q: nani alianza kuwa na hisia na mwenzie? . NUH:
yeye alikuwa na hisia na mimi na mimi nilikuwa na hisia na yeye..naamini
mungu ndo alitukutanisha .
Q: ni kitu gani ambacho kila mtu hakukijua
kwa mwenzie na amekuja kukijua tayari mkiwa wapenzi?
0 comments:
Post a Comment