Blogu ya Wananchi

,./.,

,./.,

,,

,,

... ...

...      ...

';';';';

';';';';

''=

''=

==

==
adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu
  • REAL ESTATE
  • JOBS
  • DOWNLOAD MP3
  • UDAKU
  • RATIBA ZA STAREHE/VIDEO
  • FINANCIAL

Wednesday, February 18, 2015

PICHA ZA BAADHI YA WAKUU WAPYA WA WILAYA WALIOTEULIWA NA RAIS LEO!!

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, February 18, 2015
Mwakalebela kati kati.
Paul Makonda.
Shabaani Kisu wa kwanza kushoto.
Zolothe Steven
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa Wilaya, kuwahamisha vituo vya kazi huku wengine wakiachwa.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema majina 27 mapya yameteuliwa huku wengine 11 wakitupwa nje ya uongozi huo.

Walioteuliwa ni pamoja na

1. Katibu Mkuu wa Zamani wa TFF, Freddrick Mwakalebela
2. Mtangazaji wa TBC, Shaban Kisu
3. Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda
4. Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita
5. RPC wa zamani, Zolothe Steven.

Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana huu.



Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

ufunguzi


LE MUTUZ ONLINE TV

LEMUTUZ NATION

LEMUTUZ  NATION

TOTAL PAGEVIEWS

PETRIDA FASHION

PETRIDA FASHION

VOTE NOW

best vpn cheapest vpn

LEMUTUZ_NATION FOLLOW @INSTAGRAM

LEMUTUZ_NATION   FOLLOW @INSTAGRAM

VIDEO KIZAZI KIPYA

VIDEO MUZIKI WA DANCE

Business Ad

Business Ad

Popular Posts

  • STAA IRENE UWOYA AITWA IKULU KENYE
  • THE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY/JUMAMOSI 25/6/2016 LIVE!!
  • WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI ILIYOBEBA MAITI 10.
  • BREAKIN NEWZZ!!:- WANAFUNZI TUNDUMA WALIPOLALA BARABARANI KUSHINIKIZA SERIKALI LIVE!!
  • WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YATOA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA

Blog Archive

10 BLOGS I APPROVE

  • MICHUZI BLOG
    RUTO ATOA WITO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI,ASEMA MIPAKA ISIWE KIKWAZO:
  • CCM Blog
    KUMBUKIZI YA DARAJA LA NYERERE 2016-2026
  • VIJIMAMBO
    MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
  • JESTINA GEORGE
    Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
  • www.sintah.com
    ISHA MASHAUZI KATIKA UBORA WAKE
Copyright © Blogu ya Wananchi

Developed by MKCT