Posted by Williammalecela.com on Wednesday, January 28, 2015
 |
"Kabla
Rais jakaya M. Kikwete hajaondoka nchini jumapili aliwaiita IKULU
wazee waliowahi kuwa viongozi wa ngazi za juu sana na wengine bado
wakiwa bado wanafanya kazi wazee hao walizungumza mambo mengi sana
likiwepo baadhi ya watu wanaogawa fedha nchi nzima ili wachaguliwe
kuwa marais mwenyekiti wa wazee hao Rais mstafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan mwinyi alisema wazee wanajua nani atakuwa
Rais mwadilifu wa nchii hii mwenye hofu ya Mungu anayetumia pesa siku
ikifika atalia na kusaga meno IKULU sio kariakaa kila mtu anaenda tu
na asiyekuwa na sifa anaenda Mzee Mwinyi aliishangaa sana
TAKUKURU kushindwa kuwakamata wanaogawa fedha chafu nchi nzima huku
wananchi masikini wakiteseka kwa kukoswa dawa mahospitali pia
aliwashangaa sana baadhi ya watu wanaosema mtu fulani asipopitishwa
kugombea urais CCM itasambalatika itakufa. Mzee mwinyi alisema
CCM itaendelea kuwepo ccm haiongozwi na mtu mmoja akiondoka CCM
inakufa au kikundi cha watu wakiondoka ccm inakufa CCM itaendelea
kuwepo." |
0 comments:
Post a Comment