KWELI URAIS CCM MWAKA 2015 NI MGUMU
Na Happiness Katabazi
IMEFIKIA mahali sasa mgombea urais ambaye bado haijatangaza adharani nia ya Kugombea urais lakini Tayari CCM ilishamtia hatiani kwa kosa la kuvunja Kanuni za CCM na kuanza kampeni mapema (jina naliifadhi) kumtumia kiongozi mmoja mstaafu wa dini wa Kikristo (jina naliifadhi) awasiliane na aliyewahi Kuwa kiongozi mmoja wa juu wa serikali ya Tanzania ambaye kwa sasa ni Mstaafu, eti amuombee msamahama .
Kiongozi huyo wa dini alifanya kama alivyoagizwa na mgombea huyo anayetajwa kugombea urais na aliwasiliana na kiongozi huyo mstafu wa serikali na kumweleza ametumwa na mgombea huyo wa urais (jina naliifadhi) amuombee msamahama kwa yote aliyoyafanya kwasababu wote ni wakristo na amsaidie kumlainisha Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara ,Philip Mangula ili jina lake liweze kupitishwa awe mgombea urais kwasababu anaamini kiongozi Huyo mstaafu wa serikali anammudu Mangula na kwamba Tayari yeye yaani Huyo mgombea ameishatumia Fedha nyingi sana kwaajili ya kuusaka urais .
Na kwamba kadri siku zinazovyozidi kwenda anaona kuna kila dalili jina lake kutopitishwa na vikao vya CCM.Lakini hata hivyo mstaafu huyo wa serikali baada ya kupokea ujumne huo kutoka kwa kiongozi huyo mstaafu wa dini ,alinng'aka na kusema hayupo tayari kufanya uhuni huo.
Minajiuliza HIvi Kama kweli una sifa za Kuwa mgombea urais wa nchi hii kupitia Chama chochote iwe CCM, CUF, TLP, Chadema na vyama vingine kwanini ullob?kwanini Utumie Fedha nyingi kwaajili kuutaka jina Lako lipitishwe Kuwa mgombea urais? Kwanini Utumie viongozi Hao wa kidini kinafki tena wakati huu kwenda kukuombea msamaha na kwamba to Tayari umeishatumia Fedha nyingi ?Nani alikuagiza Utumie Fedha nyingi kuhonga watu wa kusafishe na kakupigia kampeni?Huu ni wazimu mkubwa na Laana.
Viongozi wa dini za Kiislamu na wakristo tu nawaheshimu sana ila baadhi yenu mnatumika vibaya na baadhi ya wagombea urais kuwapigia kampeni kabla ya wakati. Kwanini Njaa mnazifungulia feni? Kama mnashida Kama Happiness Katabazi simuombe msaidiwe kuliko kudhalilishwa na wanasiasa?
Kweli kuipata nafasi ya urais ndani ya CCM Mwaka huu ni Ngumu sana.Mungu awa rehemu hawa baadhi ya wagombea urais ambao wao wanadhani kupata urais wa Tanzania nilazima utamwage fedha nyingi sana na ukodi kundi la watu kutwa nzima wawee wanatazama mitandao ya kijamii kama mgombea wao wa urais ameandikwa makala ya kumkosoa waanze kumtukana mtu aliyeandika makala hiyo.
Chanzo: Happiness Katabazi
Januari 28 Mwaka 2015
0716 774494.

kumekucha kusemana
ReplyDelete