Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake.
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/Uwazi
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika hospitali binafsi ya upasuaji wa mifupa na viungo cha Burere, wilayani Kibaha kwa Mathias, Mkoa wa Pwani, Janeth alisema kwamba kutokana na umaskini wa wazazi wake ambao ni wakulima wa jembe la mkono alinazimika kupewa vidonge vya kutuliza maumivu ambavyo havijamsaidia.
Janeth ambaye amefuatana na mzazi wake katika hospitali hiyi ni mtoto wa kwanza kati ya watoto sita katika familia yao na watatu kati ya hao ni Albino.
ALIVYOKUTWA KIJIJINI
Akieleza zaidi alikuwa na haya ya kusema:
“ Namshukuru Mungu aliyempeleka Mkurugenzi wa Hospitali ya Berere, Dk. Joseph Theodore Bake ambaye alitembelea kijijini kwetu na kunikuta nikiwa katika hali mbaya na
0 comments:
Post a Comment