Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 27, 2015
HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE NI KUHUSU MWENYEKITI WA CUF PROF IBRAHIM LIPUMBA KUPIGWA ....HUKU PIA NA WAANDISHI WA HABARI KUPIGWA BAADA YA KUKAIDI AMRI YA POLISI ILIYO WATAKA KUTAWANYIKA.CUF ILIANDAA MKUTANO WAKIDAI NI MAALUMU KUWAKUMBUKA WALE WOTE WALIO FARIKI KATIKA MAANDAMANO YA CHAMA HICHO
KUPIGWA KWA LIPUMBA BADO AITASAIDIA WATU WANAFIKIRIA KUTUMIA NGUVU NDIO SULUHISHO! HAPANA WALIOMPIGA WANA AKILI DUNI KAMA MIMI TU
ReplyDelete