,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, January 31, 2015

Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.

Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho kimewashangaza wengi, aliamua kujioa mwenyewe. 
Kwa mujibu wa mtandao wa MySanAntonio.com,Eleby aliahidi kwamba ikiwa hatapata mchumba wakati atakapokuwa ametimiza miaka 40, basi atafanya harusi ya mtu mmoja yaani atajioa ili kusherehekea miaka yake 40.
Duru zinasema kuwa mwanamke Eleby alifanya harusi yake mwenyewe katika makavazi ya Houston akiambatana na jamaa na familia yake na wageni wengine waalikwa.


Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu huduma yangu kwa gharama zozote, lakini bado ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na sio mwanadamu"


MABAO mawili ya mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Dan Sserunkuma jioni ya leo yametuliza hali ya hewa Msimbazi, baada ya Simba SC kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hamkani ilianza kuwa si shwari ndani ya Simba SC, baada ya kipigo cha mabao 2-1 pia katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mbele ya Mbeya City Uwanja wa Taifa, lakini Sserunkuma ameweka mambo sawa.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Ofisa wa jeshi la Polisi, Hashim Abdallah wa Dar es Salaam, aliyesaidiwa na Rashid Zongo wa Iringa na Abdallah Shaka wa Tabora, hadi mapumziko kila timu ilikuwa imekwishapata bao moja.Simba SC ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Dan Sserunkuma, aliyemaliza pasi ya Mganda mwenzake, Emmanuel Okwi kutokea pembeni kulia.
 
Mwandishi mpiga picha wa ITV, Hussein Nuha (30) akiwa katika wodi ya daraja la kwanza akiugulia maumizi baada ya kupata ajali eneo la barabara kuu ya Dar es Salaam kwa kuligonga basi la Happy Afrika lililokuwa likitokea Njimbe kwenda Dar es Salaam baada ya kuingilia msafara wa mkuu wa mkoa wa Morogoro na kulazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kabla ya kuhamishiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kwa upande wa kichwa jana.PICHA/MTANDA BLOG.
 
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania mkoa wa Morogoro, Kuty Libenanga kulia akisaidia huduma ya kwanza kwa mwandishi mpiga picha wa ITV, Hussein Nuha wakati akifikishwa hospitalini hapo.


MWIGIZAJI Jimmy Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel.

Mfanyabiashara, Jumanne Hassan ‘Tevez’ akiwa amefungwa kamba na watesi wake.
HATIMAYE ukweli wa kutekwa, kuteswa kwa kudhalilishwa kwa aliyekuwa mume wa mwimba  taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’, umejulikana, Risasi Jumamosi limechimba.
Januari 28, mwaka huu, picha za Tevez akiwa ametoka kuteswa kwa kudhalilishwa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wengine wakidai kisa ni kukutwa na mke wa  mtu, wengine wakisema ni dhuluma.
Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani.
Stori: Dustan shekidele. Morogoro/Risasi 
Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. 
Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii, maeneo ya Mji Mpya ndani ya chumba na kitanda cha wanandoa hao. 
Kikiwa kwenye mishe zake, kile kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers mkoani hapa kilipenyezewa kuwepo kwa ‘uovu’ huo ambapo hakikulaza damu. 
Isabela Mpanda, 'Bella' akiwa na serengeti boy, 'Dogo Nasri'.
SABABU za Bella kuachana na mpenzi wake Luten Karama, zimetajwa kuwa ni serengeti boy ambaye ni mwanamuziki anayejulikana kwa jina la Dogo Nasri.Sosi wa habari hii alisema kuwa Bella amekuwa akitoka kimapenzi na ‘underground’ huyo na ndiyo maana amekubali kirahisi kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi.
“Ulishawahi kuona Bella anakubali kuachia ngazi kirahisi hivyo? Mwenzako amekamatika kwa dogo si mchezo, anaonekana naye viwanja kwani hata alipotamka maneno ya kuachana na Kalama mwenyewe hakuwepo alikuwa mkoani Lindi, sijui akirudi itakuwaje,” alisema sosi.
I agree we all have different fantasies but I think some-times we overdo things. Men! Would you have this cake for your birthday party?? Just look at the photos!!!
King Lawrence nae ametoka na hii….. Actually niseme Ivan katoka na hii. Maana naona katagiwa kabisaaaaa…..Lol…
Alafu jamani hivi mmenotice kuwa ivan anaogopewa sana. Uwii some blogs naona wanamtundika Lawrence kumtukana sababu ya kumtukana Zari wakati kila mtu anajua anaemchamba Zari hapa ni Ivan.Hii post ya leo ndo proof maana kaweka picha ya kakake IVAN na kamtag…. Embu nione sasa blogger mwenye ujanja wa kumtukana Ivan…hahahaha..Maana wanajua Zari atalala njaa wakimuuzi huyu jamaaa…….
I mean really, hivi hapa kama majibu si anatakiwa kupewa Ivan na sio King Lawrence? 
Kwa vile keshaamua kuzaa tumuombee azae salama ila huyu jamani mtasema simpendi ila jamani tuweni wakweli tu jamani ,hivi kweli how can you date a man for a few weeks sijui 2 months ukabeba na mimba jamani? Mtu hujamsoma, hujaishi nae, hujamjua then unazaa nae? why??????????? Hata kama ndo kupenda kujulikana jamani kuna mipaka. Kuleta kiumbe duniani na mtu ambae hujakaa nae mkajuana vizuri. Is this normal????? kila mtu anajua mwanzo wa mapenzi huwa ni mtamu sana mtu unakuwa very excited yani mnaweza kuhisi mnapendana kama peremende ila mtu mzima na akili zako kweli ukazae na mtu hamjajuana hata tabia? This woman is not okay upstairs. Ngachoka (In Zinja’s voice).


Upigaji wa picha kwa njia ya Selfie umeendelea kuwa gumzo dunia nzima na kufanya ongezeko la ununuaji wa simu za smartphone kuongezeka kwa wingi.
Wanachuo watatu huko New Delhi, India Yakub, Afzal, na Iqbal wamepoteza maisha baada ya kunogewa kupiga picha za selfie katika barabara ya treni na kufariki hapo hapo.
Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Afrika na kimataifa kwa ujumla hatimaye bifu lao limeisha. 
Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya Diamond Platnumz na Wizkid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya ya Davido aliyo mshirikisha Uhuru na Dj Bucks. Diamond nae ali-post katika account yake kwa kuonesha kum-support Davido kwa nyimbo yake mpya. 
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara'.
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.
ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
Baada ya kuingiza kwa miaka mingi sana na kuisaidia industry ya movie ya Ghana kupanga katika ramani hatimae Van Vicker ameamua kujiingiza katika muziki na kutafuta channel nyingine kwenye ramani ya muziki nchini humo.
Katika interview aliyo ifanya na modern Ghana Van Vicker alisema kwamaba ameamua kuingia katika mmuziki kwasababu ameshachangia vya kutosha katika movie industry ya Ghhana na kupitia kituo chake cha mafunzo ya sanaa kiitwacho Van Vicker training facilities.
1. Kufuata mkumbo, kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe.
2. Kuongea lugha chafu, huwezi kumaliza sentensi bila matusi.
3. Kuvaa mlegezo.
4. Kunyoa panki, kiduku au kuacha afro.
5. Kuvaa viatu vya four angles au vyenye soli kubwa.
6. Kukimbia mimba au kutelekeza familia.
7. Kunywa pombe bila kipimo, kushinda bar bila sababu maalumu utadhani wewe kreti.
8. Kuvaa suruali za model au bwanga au kuvaa mayeno.
9. Kumpiga mwanamke awe mkeo, mpenzi wako au hata rafiki tu.
10. Kuwa na hulka ya kupigana, yani huwezi ku-solve tatizo kwa njia nyingine zaidi ya kuwaza kupigana.

ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
X wa Zari, King lawrence akipozi.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya kijamii, lakini kitu alichogundua ni kwamba mpenzi huyo wa zamani wa Zari anataka yeye amjibu ili aweze kulikuza jina lake, kitu
Watu hao wakiendelea kufanya mambo yao.Stori: Issa Mnally na Deogratius Mongela/Ijumaa 
AMA kweli binadamu siyo waoga! Watu wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja, waliamua kujitoa fahamu na kuamua kufanya mapenzi ndani ya gari nje ya Kituo cha Polisi cha Alimaua kilichopo Kata ya Kijitonyama jijini Dar, OFM wanakumegea mkanda mzima.
Tukio hilo la aina yake lilinaswa saa nane usiku wa Jumatano wakati kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kikiwa kazini kusaka matukio mbalimbali ya usiku mnene.
Na Imelda Mtema/Ijumaa

Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.
Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Digitari imerahisisha sana maisha, hata mapenzi wakuu yapo ya kidigitari. Zile habari za analogia mwanamke unamtongoza leo kula issue mwakani hazipo tena.
Leo ukijisikia una hamu ya kungonoko weka msimbazi wako kwenye walleti taratibu unajiondokea nyumbani humalizi hata kilomita mbili wa kukuchuna anakuwa ameshapatikana. Sana sana kama unawaogopea macho wanawake warembo unaokutana nao njiani unaweza kutembea kilometa nyingi kidogo, lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi warembo rahisi sana kuwapata kwa sababu hawajiamini lakini mbili wanaume wengi wamejengeka na kasumba kwamba kuoa mwanamke mrembo utapata stress ,bp, sheli nk.
 



Ali Choki na Asha Baraka wakikumbatiana kumaliza bifu lao la muda mrefu.

Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho.



Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika
 
Kyle Jones (31) akiwa na mpenzi wake, Karen, anasema huvutiwa tu na wanawake wanaomzidi umri kwa makumi kadhaa ya miaka.

Huyu ndiye Kyle, kijana mtanashati anayeachwa hoi na penzi la vibibi vizee.
 
Kyle and Karen wakiwa katika ‘mahaba niue’ walipokutana mara ya kwanza.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

ufunguzi