
Katika interview aliyo ifanya na modern Ghana Van Vicker alisema kwamaba ameamua kuingia katika mmuziki kwasababu ameshachangia vya kutosha katika movie industry ya Ghhana na kupitia kituo chake cha mafunzo ya sanaa kiitwacho Van Vicker training facilities.
Alisema yeye kwa sasa anacho angalia ni soko la kimataifa na haijalishi atafanya muziki wa aina gani iwe hip-hop,reggae au rnb,kwakua yeye anaangalia kipaji chake.
‘I am looking at discovering a talent for the international market, it doesn’t matter if is hip-life, gospel, raggae, etc, what matters is real talent"
Van Vicker alianza na kipaji chake katika utangazaji katika kituo cha redio cha Groove 106.3 mwaka 1999 na pia alisha tangaza kipindi cha tv ituo cha Tv3 ambacho kilikua kinahusisha masuala ya nchini Ghana na matukio ya muendelezo
0 comments:
Post a Comment